iqna

IQNA

ubaguzi wa rangi
Qur’ani Tukufu Inakabiliana na Ubaguzi wa Rangi/3
IQNA – Watu hupotosha na kughushi ukweli kwa sababu tofauti, mojawapo ikiwa ni ubaguzi wa rangi na ukabila.
Habari ID: 3478115    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30

Qur’ani Tukufu Inakabiliana na Ubaguzi wa Rangi/1
IQNA - Kutafakari kunaweza kuzingatiwa kama kigezo cha kutathmini maendeleo au kurudi nyuma kwa jamii.
Habari ID: 3478080    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/23

Sura za Qur'ani Tukufu / 49
TEHRAN (IQNA) – Moja ya matatizo sugu katika dunia ya sasa ni ubaguzi wa rangi . Ingawa jitihada zimefanywa ili kukabiliana na jambo hilo baya, inaonekana kwamba kutozingatia mafundisho ya kidini kumezuia jamii kuondokana kabisa na ubaguzi wa rangi .
Habari ID: 3476281    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri watano wa zamani wa Ulaya wamezitaja sera za utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina kama "kosa la ubaguzi wa rangi ".
Habari ID: 3476018    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa Chuo Kikuu cha Rice unaonyesha kuwa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wanakabiliwa na utumiaji mabavu na unyanyasaji mara tano zaidi yaw engine kutoka kwa polisi nchini humo.
Habari ID: 3475677    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Ubaguzi wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imeelezea wasiwasi wake juu ya ukatili unaoendelea wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kwa msingi huo imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuitambua Israel kama taifa la apathaidi au ubaguzi wa rangi .
Habari ID: 3475554    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/29

Ubaguzi wa rangi Israel
TEHRAN (IQNA)- Wabunge katika Bunge la Kitaifa la Ufaransa wametia saini rasimu ya azimio la kulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera zake za ubaguzi wa rangi au apatahidi na jinai za kivita dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3475527    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi, Juni 11, 2022 huko Manchester, NH, jimboni New Hampshire Marekani, Kongamano la New England la Makanisa ya Methodist ilipitisha kwa wingi azimio lenye kichwa “Kutambua na Kupinga Ubaguzi wa Rangi Katika Ardhi Takatifu.”
Habari ID: 3475392    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kimataifa ya Haki za Kibinadamu cheye makao yake makuu nchini Marekani katika Chuo Kikuu cha Sherai cha Harvard, katika ripoti ya hivi karibuni kwa Umoja wa Matai kiljlijiunga na jumuiya ya kimataifa kwa kutambua tabia ya ubaguzi wa rangi ya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3475058    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

TEHRAN (IQNA)- Mwanasheria mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel aumeutaja utawala huo kuwa ni "utawala wa kibaguzi au apathaidi".
Habari ID: 3474922    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12

TEHRAN (IQNA) – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeunga mkono kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa ambacho kimeitishwa kujadili ubaguzi wa rangi nchini Marekani.
Habari ID: 3472875    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18

Katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA) - Waandamanaji wenye hasira nchini Marekani wanaendeleza mkakati wa kuanugusha, kuharibu ama kuondoa masanambu ya wabaguzi wa rangi hasa Christopher Columbus.
Habari ID: 3472858    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/12

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutumia kitabu cha Biblia kwa ajili ya kuhalalisha jinai na ukatili wa serikali yake na kuwahadaa Wamarekani.
Habari ID: 3472836    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/04

Makundi ya Palestina
TEHRAN (IQNA) –Makundi ya muqawama au kupigania ukombozi wa Palestina yamesisitiza kuwa, matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge katika utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoneysha kuwa hakuna mabadiliko yoyote katika sera za utawala huo.
Habari ID: 3472526    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/03

TEHRAN (IQNA)-Mjukuu wa hayati Shujaa Nelson Mandela wa Afrika Kusini ameitaka nchi hiyo ikate uhusiano wote wa kidiplomasia na kibiashara na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471111    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08